MAGAZETINI LEO TANZANIA


2.0.7 by 1995 TECH
Nov 17, 2018 Old Versions

About MAGAZETINI LEO TANZANIA

Pata Habari katika magazeti na blogs za Tanzania leo hii hata kama huna MB

ni app ikuleteayo habari toka katika magazeti yote ya Tanzania na vyanzo vingine vikuu vya habari duniani.App hii ya kipekee inakuwezesha kusoma habari zote zilizochapishwa ukiwa na MB pindi tu unapoishiwa MB.App hii ina mambo mengi ya kipekee kama:

+Badili mwonekano wake kati ya nyeupe na rangi nyeusi

+Read news Offline and online

+Tafuta kitu chochote unachotaka na uletewe habari zote zinazohusu kitu hicho

+Chagua mda unaotaka kuletewa habari mpya

+Ongeza website uzitakazo

+Futa habari usizozitaka

+Tunza habari unazozitaka

Features:

- easily add new feeds

- light and dark themes

- retrieve the full text of the feed when the content is truncated

- star your favorite entries

- search into your articles

- filter your feed by keywords or regular expressions

- custom widgets

Baadhi ya vyanzo vya habari ni Millard Ayo, Mwananchi, Mzlaendo, BBC Swahili, Channel 10, Dar24, Habari Leo, Mwana Spoti, Global Publishers, Mwanahalis Online, Raia Mwema, Swahili Times, VOA Swahili, Swahili Hub, Swahili Times, Perfect255, Shaffih Dauda, Udaku Specially, Dizzim Online, Bongo 5, 8020 Fashions Blog, Full Shangwe Blog, Issa Michuzi, Mitandaoni, Mjengwa Blog, Mtembezi, Habari Kwanza, Ghafla Tanzania, Dewji Blog, Kwetu Tanzania na zinginezo nyingi tunazoendelea kuziongeza

Additional APP Information

Latest Version

2.0.7

Uploaded by

Ammar Bikbash

Requires Android

Android 4.0.3+

Show More

Use APKPure App

Get MAGAZETINI LEO TANZANIA old version APK for Android

Download

Use APKPure App

Get MAGAZETINI LEO TANZANIA old version APK for Android

Download

MAGAZETINI LEO TANZANIA Alternative

Get more from 1995 TECH

Discover