Use APKPure App
Get Kenya National Anthem old version APK for Android
Sing along the Kenya National Anthem and enjoy as our Athletes win Gold or Cups
Ee Mungu nguvu yetu
Ilete baraka kwetu
Haki iwe ngao na mlinzi
Natukae na undugu
Amani na uhuru
Raha tupate na ustawi.
Amkeni ndugu zetu
Tufanye sote bidii
Nasi tujitoe kwa nguvu
Nchi yetu ya Kenya
Tunayoipenda
Tuwe tayari kuilinda
Natujenge taifa letu
Ee, ndio wajibu wetu
Kenya istahili heshima
Tuungane mikono
Pamoja kazini
Kila siku tuwe na shukrani
Last updated on Sep 13, 2016
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
Uploaded by
Yuossf Mohamed
Requires Android
Android 2.3.2+
Category
Report
Kenya National Anthem
1.0 by Kimaget Systems
Sep 13, 2016