Use APKPure App
Get Ufugaji na Matibabu old version APK for Android
Ijue Mifugo yako kwa kujifunza Ufugaji na Matibabu kupitia simu yako kiganjani.
Hii ni App maalum kwa ajili ya kutoa mafunzo juu ya ufugaji na matibabu kwa njia ya mtandao. Tumejikita katika kutoa mafunzo kuhusu wanyama kama vile Kuku, Ng'ombe, Mbuzi, Sungura na weengineo.
Pamoja na App hii pia tuna Group letu la WhatsApp, hapa utajiunga kwa kupiga namba hii 0762 799 080 kisha utapewa maelekezo zaidi.
Pia App yetu ipo sambamba sul sito web yetu maalum ya www.animalscience.care. Utakua na uwanja mpana wa kujifunza na kutoa maoni na maswali kupitia sehemu ya Commenti.
Zaidi ya yote tunakukaribisha Ujifunze, Uelimike katika ufugaji wenye tija kibiashara.
Mawasiliano.
E-mail: agrotanzania.care@gmail.com
WhatsApp: 0762 799 080
Sito web:
https://animalscience.care/
NB. Ukiwa na mahitaji ya kutengenezewa App Android, Blog e Sito web.
Wasiliana nasi kupitia mawasiliano yaliyotajwa hapo juu.
Caricata da
Brenya Brand
È necessario Android
Android 5.0+
Categoria
Segnala
5.5 MB Jul 10, 2024
5.5 MB Jul 10, 2024
11.6 MB May 28, 2024
11.6 MB May 28, 2024
5.5 MB Feb 2, 2024
5.5 MB Feb 2, 2024
Use APKPure App
Get Ufugaji na Matibabu old version APK for Android
Use APKPure App
Get Ufugaji na Matibabu old version APK for Android