Use APKPure App
Get Tuchati old version APK for Android
Jiunge na familia ya watu wakupendao kwa kuchat nao kwenye app hii
Tuchati App inakuwezesha kuwasiliana na ndugu na marafiki kwa haraka na kwa urahisi zaidi.
Unaweza kutuma picha na itamfikia rafiki au ndugu kwa haraka zaidi.
Unaweza kupiga simu na mtaonana live hata awe marekani au wapi.
Unaweza kuanzisha kundi (group) na kujaza members 5000 utalitumia group lako kwa kutangaza biashara zako bure.
Wewe ni admin wa group unaweza kumfuta mwanachama msumbufu au kumzuia asichangie chochote kwenye group lakini aweze kufuatilia group hilo na akilipia faini utakayopanga wewe utamtoa kwenye kifungo yaani temporary ban.
Jiunge na familia ya watu wakupendao kwa kuchat nao kwenye app hii
Caricata da
Bassam Shaalan
È necessario Android
Android 4.1+
Categoria
Segnala
Use APKPure App
Get Tuchati old version APK for Android
Use APKPure App
Get Tuchati old version APK for Android