Use APKPure App
Get Nyimbo Za Kristo old version APK for Android
Nakala ya nyimbo za ibada za waadventista wasabato kwa lugha ya kiswahili.
Il programma di Kristo nimbo inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 220 kutoka katika kitabu cha Nyimbo di Kristo cha kanisa la Waadventista Wasabato kwa lugha ya Kiswahili kama kilivyohaririwa na kuchapwa na TANZANIA ADVENTIST PRESS (TAP).
Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote, Nyimbo za kuburudisha, kutia moyo na kukufariji wakati wa huzuni.
Sifa za programma ni kama zifuatazo:-
• Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa
neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili, kwa kiingereza au maneno
yaliyo ndani ya wimbo.
• Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata
kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa pallido unapoona inafaa.
• Inakuwezesha kuona nyimbo kwa makundi.
• Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (grazie a hymnserve.com per
gli accompagnamenti).
• Inakuwezesha kucheza ala ya wimbo hata usipokuwa kwenye programu
• Inakuwezesha kuona wimbo unaocheza
• Inakuwezesha kukuza ukubwa wa maandishi wa maneno ya wimbo kadri unavyoona
inafa.
• Inakuwezesha kuona wimbo uliofunguliwa mara ya mwisho kwa kuuangaza.
• Inakuwezesha kushiriki maneno ya wimbo na ndugu jamaa na marafiki kwa urahisi.
• Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya
Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho.
Programma hii imeandaliwa na kutengenezwa na Justin Diva na Godfrey Diva kwa
Utukufu wa Mungu.
Last updated on Dec 29, 2024
Imerekebisha baadhi ya makosa ya kiuandishi.
Caricata da
Ðiðiń Båñdįcøt
È necessario Android
Android 5.0+
Categoria
Segnala
Nyimbo Za Kristo
2 . 3 . 3 by Awesomecode Tanzania
Dec 29, 2024