Use APKPure App
Get Mauzo old version APK for Android
Questa applicazione viene utilizzata per gestire le piccole imprese.
Mauzo App applicazione ni inayotumika kutunza taarifa za Mauzo na Matumizi. Itakusaidia kujua kama Biashara yako inatengeneza faida.
Hutumika katiika Biashara Ndogo na za Kati zinazojiusisha na na kununua kuuza bidhaa, kutengeneza na kuuza bidhaa au kutoa Huduma
Hauitaji kuwa na Intaneti (inatumika offline). Intaneti inatumika wakati wa kujisajili na wakati wa kufanya Backup.
Taarifa (dati) zako zinatunzwa kwenye simu yako tu. Hakuna MTU anaweza kuziona Zaidi yako wewe.
Last updated on May 3, 2021
Tumefanya mabolesho makubwa katika app hii ili kuendana na mahitaji ya wateja wetu. Miongoni mwa maboresho yaliyofanyika ni pamoja na;-
1. Kurekebisha fomu ya kusajili bidhaa,
2. Kuboresha fomu ya kurekebisha taarifa za bidhaa,
3. Kuongeza kipengele cha Mapato,
4. Kuongeza kipengele cha Matumizi,
5. Kuboresha Dashboard,
6. Kuongeza Refresh kwenye Dashboard na Bidhaa,
7. Kuboresha fomu ya Kujisajili na
8. Kuboresha fomu ya kusajili mauzo.
Endelea kufurahia huduma hii. Asante!
Caricata da
Kwee Chaw
È necessario Android
Android 4.4+
Categoria
Segnala
Mauzo
1.5.2 by diioTZ Labs
May 3, 2021