Use APKPure App
Get Matukio old version APK for Android
Furahia Habari,Michezo na Burudani mbalimbali
Matukio Tz ni app ambayo itakuwa ikikuletea taarifa mbalimbali zinazotokea ndani ya Tanzania na Ulimwengu pia Kiujumla taarifa hizo zimetegwa katika mafungu makuu manne kama ifuatavyo;
HABARI, Hapa utakuwa ukijuzwa matukio mbalimbali yanayojiri hapa nchini Tanzani na pia yale yatokeayo nje ya mipaka ya Tanzania, Kijamii, Kiuchumi na Kibiashara.
MICHEZO, Katika sehemu hii ya michezo mdau wa soka utakuwa ukifurahia taarifa za soka kuhusiana na timu kongwe Yanga na Simba ni pia taarifa za ligi zote kuanzia ligi kuu hadi ligi za madaraja ya chini yake, pia taarifa za ligi mbalimbali ulaya na wachezaji wake utakuwa ukizipata kupitia app hii.
BURUDANI, Hii sehemu ambayo ww mpenzi wa muziki na tamthlia za kutafsiliwa kiswahili utakuwa ukitazama tamthilia hizo mojamoja kwa mojoja mtandaoni au kwa kuzipakua kwanza kwenye simu na baadae kuziangalia ukiwa hutumii mtandao wa internet,pia utaweza kupakua nyimbo mpya zinazotoka kila ikiwa ni video na audio pia .
App hii ni mahususi kwako ww mtanzania mwenzangu kwani mambo yaliyomo ni maalamu na muhimu sana ndani ya Tanzania.
Ahsanteni.
Last updated on Oct 7, 2024
Furahia Habari,Michezo,Burudani na Videos
Caricata da
Nevao Villarreal
È necessario Android
Android 5.0+
Categoria
Segnala
Matukio Tz
1.6 by marick inc
Dec 2, 2024