Use APKPure App
Get Loko Find old version APK for Android
Elenco Smart Business della Tanzania
Loko Find is Tanzania Smart Business Directory that enables you to find reputable Tanzania Businesses on your Smartphone.
Loko Find
» With Loko Find you can Advertise Tenders for Tanzanian business as well as check their best offers.
» Access a list of businesses around you so that you can save time and do more with your time.
» Start achieving things easily or find customers where you are quickly, right on your Smartphone using Loko Find.
» Loko Find is more than a business directory.
Kuhusu Loko Find
Loko Find ni Smart Business Directory itakayo kusaidia kukutana na wafanya biashara na wanunuzi wengi wa bidhaa kutoka Tanzania kupitia simu yako.
Unataka kupata bidhaa kwa bei nafuu.? au unataka kujua ofa mbalimbali kutoka kampuni mbalimbali.? Basi Loko Find itakusaidia sana. Huna haja ya kutafuta bidhaa mtandaoni kwani Loko Find itakukutanisha na wafanya biashara wa kitanzania. Jaribu sasa Loko Find Smart Business Directory.
Kuhusu Loko Find
» Tangaza Zabuni kwa wafanya biashara wa kitanzania pamoja na kuangalia ofa zao.
» Utaweza kuona biashara zote zilizopo karibu na wewe hii itakupa urahisi wa kupata unachotaka.
» Anza kufanikisha mambo kwa urahisi au kupata wateja mahali ulipo kwa haraka.
Wasiliana Nasi
Kwa maelezo zaidi kama unataka kujua zaidi au kujua jinsi ya kutumia app ya Loko Find basi hakikisha una wasiliana nasi sasa.
Mobile : 255 739 711 233
255 713 711 233
Email : [email protected]
Website : https://lokofind.com
Last updated on Jan 2, 2021
Text Fix
Bugs Fix and Performance Improved
Caricata da
Misha Jojua
È necessario Android
Android 5.0+
Categoria
Segnala
Loko Find
Tanzania Smart Business Directory2.0.0 by Tanzania Tech Media
Jan 2, 2021