Hadithi 40 za Imamu Nawawi


2.0 per K Technologies
Sep 6, 2023 Vecchie versioni

A proposito di Hadithi 40 za Imamu Nawawi

Hadithi 40 za Imamu Nawawi - Lugha ya Kiswahili

Hizi ni hadithi za Mtume (s.a.w) zilizoandikwa na Imam Nawaw Allah amridhiye. Kitabu hiki kimekusanya hadithi 40 kutoka katika vitabu vikubwa vya hadithi kama Sahihul-bukhar, sahihul muslim na vinginevyo. Amekusudia kuchagua hadithi sahihi tu katika hizi hadithi 40.

Imam Nawaw pia ameandika vitabu vingi vya hadithi na Fiqh. Ameandika kitabu cha hadithi kinazotambulika kama Riyaadhu as-salihiin yaani “BOSTANI LA ​​WAJAWEMA” pia katika kitabu hicho alikusudia kuandika hadithi sahihi tu.

Hivyo basi nasi tumeona kuwaletea karibu hadithi hizi kwa lugha ya kiswahili ili kuendelea kuisambaza kazi ya maulamaa hawa. Tuanatarajia radhi kwa Allah katika kazi hii. Kwa yeyote atakayeona kosa basi awasiliane nasi kwa haraka zaidi.

Informazioni APP aggiuntive

Ultima versione

2.0

Caricata da

Bilal Khan

È necessario Android

Android 4.4+

Available on

Mostra Altro

Use APKPure App

Get Hadithi 40 za Imamu Nawawi old version APK for Android

Scarica

Use APKPure App

Get Hadithi 40 za Imamu Nawawi old version APK for Android

Scarica

Hadithi 40 za Imamu Nawawi Alternativa

Trova altro da K Technologies

Scoprire