Use APKPure App
Get Hadithi 40 za Imamu Nawawi old version APK for Android
Hadithi 40 za Imamu Nawawi - Lugha ya Kiswahili
Hizi ni hadithi za Mtume (s.a.w) zilizoandikwa na Imam Nawaw Allah amridhiye. Kitabu hiki kimekusanya hadithi 40 kutoka katika vitabu vikubwa vya hadithi kama Sahihul-bukhar, sahihul muslim na vinginevyo. Amekusudia kuchagua hadithi sahihi tu katika hizi hadithi 40.
Imam Nawaw pia ameandika vitabu vingi vya hadithi na Fiqh. Ameandika kitabu cha hadithi kinazotambulika kama Riyaadhu as-salihiin yaani “BOSTANI LA WAJAWEMA” pia katika kitabu hicho alikusudia kuandika hadithi sahihi tu.
Hivyo basi nasi tumeona kuwaletea karibu hadithi hizi kwa lugha ya kiswahili ili kuendelea kuisambaza kazi ya maulamaa hawa. Tuanatarajia radhi kwa Allah katika kazi hii. Kwa yeyote atakayeona kosa basi awasiliane nasi kwa haraka zaidi.
Last updated on Sep 13, 2023
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
Uploaded by
Bilal Khan
Requires Android
Android 4.4+
Category
Report
Hadithi 40 za Imamu Nawawi
2.0 by K Technologies
Sep 13, 2023