Animal Science


2.4 by Mshindo Media Sports
Jul 27, 2023 Old Versions

About Animal Science

App maalum kwa kutoa mafunzo juu ya ufugaji kibiashara kwa njia rahisi

Hii ni App maalum kwa ajili ya kutoa mafunzo juu ya ufugaji kibiashara kwa njia rahisi. Tumejikita katika kutoa mafunzo kuhusu wanyama kama vile Kuku, Ng'ombe, Mbuzi, Sungura na wengineo.

Pamoja na App hii pia tuna Group letu la WhatsApp, hapa utajiunga kwa kupiga namba hii 0762 799 080 kisha utapewa maelekezo zaidi.

Pia App yetu ipo sambamba na Website yetu maalum ya dfcveterinarycentre.com. Utakua na uwanja mpana wa kujifunza na kutoa maoni na maswali kupitia sehemu ya Comments.

Zaidi ya yote tunakukaribisha Ujifunze, Uelimike katika ufugaji wenye tija kibiashara.

Mawasiliano.

Email: agrotanzania.care@gmail.com

WhatsApp: 0762 799 080.

Website: www.dfcveterinarycentre.com

NB. Ukiwa na mahitaji ya kutengenezewa Android App, Blog na Website.

Wasiliana nasi kupitia mawasiliano yaliyotajwa hapo juu.

Additional APP Information

Latest Version

2.4

Uploaded by

Andika Prasetia

Requires Android

Android 5.0+

Show More

Use APKPure App

Get Animal Science old version APK for Android

Download

Use APKPure App

Get Animal Science old version APK for Android

Download

Animal Science Alternative

Get more from Mshindo Media Sports

Discover