Our website uses necessary cookies to enable basic functions and optional cookies to help us to enhance your user experience. Learn more about our cookie policy by clicking "Learn More".
Accept All Only Necessary Cookies
Icona Matukio duniani

1.5.3 by NDIFUUST MOBILE


Jul 2, 2018

Informazioni su Matukio duniani

habari Toka vyanzo vya habari vya kimataifa n magazetini tz hata kama Huna MB.

Habari za kimataifa toka bbc,dw,rfi,cnn,irib na nyinginezo nying kiganjani kwako

Pata Habari moto moto toka vyanzo mbali mbali vya habari toka toka duniani

*Habari za Uchumi mda wowote,sehemu yeyote utakapokuwa

*Habari za Michezo mda wowote,sehemu yeyote utakapokuwa

*Habari za Siasa mda wowote,sehemu yeyote utakapokuwa

*Habari za Mahusiano mda wowote,sehemu yeyote utakapokuwa

*Habari za sayansi na teknolojia mda wowote,sehemu yeyote utakapokuwa

*Habari za Kimataifa toka BBC SWAHILI ya uingereza mda wowote,sehemu yeyote utakapokuwa

*Habari za kimataifa toka TRT ya uturuki mda wowote,sehemu yeyote utakapokuwa

*Habari za kimataifa toka DW ya Ujerumani mda wowote,sehemu yeyote utakapokuwa

*Habari za Kimataifa toka RFI ya Ufaransa mda wowote,sehemu yeyote utakapokuwa

*Habari za kimataifa toka CRI ya China mda wowote,sehemu yeyote utakapokuwa

*Habari za Kimataifa toka IRIB ya Irani mda wowote,sehemu yeyote utakapokuwa

*Habari za kimataifa toka CNN mda wowote,sehemu yeyote utakapokuwa

*Habari ya kimataifa toka VOA ya Marekani mda wowote,sehemu yeyote utakapokuwa

*Habari za kimataifa toka Radio Cairo ya Misri mda wowote,sehemu yeyote utakapokuwa

*Habari za Kimataifa toka NHK ya Japan mda wowote,sehemu yeyote utakapokuwa

.Pata habari za Kimataifa kwa lugha ya kiwahili mda wowote,sehemu yeyote utakapokuwa

Habari za kimataifa ni Program ya Kiswahili itakayo kuhabarisha yanayojiri ndani na nje ya Tanzania. Pata habari za Kitaifa, kimataifa, Michezo na Burudani kwenye simu au Tablet yako kupitia program hii.

Pata habari za kitaifa, Kimataifa burudani na michezo ndani na nje ya Tanzania muda wot

Kupitia App HII ya DunianiApp utaweza kupata habari za kitaifa na za kimataifa bila kusahau habari za michezo.

1.utaweza Kupata Habari mbali mbali za kisiasa, Kiuchumi,kijamii na michezo kutoka ndani na nje ya Tanzania kupitia wavuti zifuatazo;

-RFI SWAHILI

-CRI SWAHILI

-VOA SWAHILI NA NYINGINEZO

ni app ikuleteayo habari toka katika magazeti yote ya Tanzania na vyanzo vingine vikuu vya habari duniani.App hii ya kipekee inakuwezesha kusoma habari zote zilizochapishwa ukiwa na MB pindi tu unapoishiwa MB.App hii ina mambo mengi ya kipekee kama:

+Badili mwonekano wake kati ya nyeupe na rangi nyeusi

+Read news Offline and online

+Tafuta kitu chochote unachotaka na uletewe habari zote zinazohusu kitu hicho

+Chagua mda unaotaka kuletewa habari mpya

+Ongeza website uzitakazo

+Futa habari usizozitaka

+Tunza habari unazozitaka

it DOES NOT synchronize with any online feed reader, if you need synchronization this app is not for you.

Features:

- easily add new feeds thanks to the Google News or search feature (you can also subscribe to a new one from the browser via the share feature)

- light and dark themes

Baadhi ya vyanzo vya habari ni Millard Ayo, Mwananchi, Mzlaendo, BBC Swahili, Channel 10, Dar24, Habari Leo, Mwana Spoti, Global Publishers, Mwanahalis Online, Raia Mwema, Swahili Times, VOA Swahili, Swahili Hub, Swahili Times, Perfect255, Shaffih Dauda, Udaku Specially, Dizzim Online, Bongo 5, 8020 Fashions Blog, Full Shangwe Blog, Issa Michuzi, Mitandaoni, Mjengwa Blog, Mtembezi, Habari Kwanza, Ghafla Tanzania, Dewji Blog, Kwetu Tanzania na zinginezo nyingi tunazoendelea kuziongeza

- offline reading including images

- import/export the feed list from OPML

- retrieve the full text of the feed when the content is truncated

- star your favorite entries

- search into your articles

- filter your feed by keywords or regular expressions

- custom widgets

Mastaa wa Bongo: Diamond Platnumz, Ali Kiba, Wema Sepetu, Zari The Bosslady, Aunt Ezekiel, Hamisa Mobeto, Lulu MIchael, Tunda, Giggy Money, Malaika,

Novità nell'ultima versione 1.5.3

Last updated on Jul 2, 2018

+Read news Offline and online.hata kama huna MB;Utaweza soma habari zilizochapishwa
ulipokuwa na MB
+Badili mwonekano wake kati ya nyeupe na rangi nyeusi
+Tafuta kitu chochote unachotaka na uletewe habari zote zinazohusu kitu hicho
+Chagua mda unaotaka kuletewa habari mpya
+Ongeza website uzitakazo
+Futa habari usizozitaka
+Tunza habari unazozitaka
+need to accept the android.permission.WRITE_EXTERNAL_STORAGE permission

Traduzione in caricamento...

Informazioni APP aggiuntive

Ultima versione

Richiedi aggiornamento Matukio duniani 1.5.3

Caricata da

Micheal Olton

È necessario Android

Android 4.0.3+

Mostra Altro

Matukio duniani Screenshot

Commento Loading...
Lingua
Iscriviti ad APKPure
Sii il primo ad accedere alla versione anticipata, alle notizie e alle guide dei migliori giochi e app Android.
No grazie
Iscrizione
Abbonato con successo!
Ora sei iscritto ad APKPure.
Iscriviti ad APKPure
Sii il primo ad accedere alla versione anticipata, alle notizie e alle guide dei migliori giochi e app Android.
No grazie
Iscrizione
Successo!
Ora sei iscritto alla nostra newsletter.